Aliyempa Mimba Aunty Ezekiel Kutambulishwa

Ni Hivi Karibuni

By  | Nov 20, 2020, 12:34 PM  | Drama

Mwigizaji wa kike nchini, Aunt Ezekiel amesema wakati wowote atamtaja baba aliyempa ujauzito alionao kwani amekaribia kujifungua.
Aunty Ezekiel


Akijibu maswali ya waandishi wa habari juzi, nyota huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja wa kike aliyezaa na mmoja wa ma-dancer wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo, alisema muda wowote ataonekana mwanaume aliyempa mimba.
Aunty Ezekiel


Hata hivyo kwa muda mrefu kumekuwa na tetesi kwamba mrembo huyo anatoka kimapenzi na baba mtoto wa msanii Ruby, Salmin Ismail ‘Kusah’ licha ya wenyewe kwa nyakati tofauti kukanusha habari hizo.

Lakini watu wao wa karibu wamekuwa wakisema wawili hao ni wapenzi na wanatarajia kupata mtoto.
Aunty Ezekiel


Kusah mara zote amekuwa akisema Aunt ni rafiki wake na wanapeana sapoti katika kazi zao. Alisema ana mpenzi wake anayempenda na muda ukifika atamtambulisha hadharani ila hakutaja ni nani.  

Licha ya hao wote kuficha, rafiki wa karibu wa Aunt, Irene Uwoya alivyoamua kuweka mambo hadharani baada ya kuulizwa anamuitaje Kusah kusema ni shemeji yake kwa Aunt na hivyo, ndivyo anavyojua.
Read more