Diamond Platnumz "Pesa Kidogo tu Unakunja Mdomo"

Shabiki Amvaa Diamond Platnumz

By  | Nov 20, 2020, 12:36 PM  | Diamond Platnumz  | Drama

Mitandoni kuna mengi na ukistaajabu ya Mondi utaona ya mashabiki bwana! Town sasa kuna msemo mpya mitandaoni unaokwenda kw ajina la "Pesa kidogo tu....."
Msemo huu umepinduliwa hadi kwa Mfalme wa Bongo Fleva Diamond Platnumz.


Kupitia mtandao wa Instagram kwenye ukurasa maalumu wa msanii huyo, leo amepost picha fani hivi mfano wa pasport size na kuonyesha kukunja mdomo
Diamond Platnumz


Hii haikumzuia mtumiaji mmoja wa mtandao huo aitwae  iamhamisi  kuandika ya moyoni juu ya picha hiyo.

iamhamisi
aliandika 
Pesa kidogo tu ushaanza kukunja mdomo
Hii haikua vyema kwa bwana iamhamisi kwani mashabiki wa msanii huyo walimvaa ipasavyo kwa kumrushia maneno makali wakimjibu vilivyo. Cheki hizi comments
dinacuteeeaugustino
@iamhamisi pesa mingi weee wasikusikie
@iamhamisi na wew tafuta ukunje mdomo
@iamhamisi we zako nyingi zikowapi
@cherryjames.254 inaonekana wako madongokuinama network juu ya mti.👌👌
Pole sana iamhamisi  hao ndo mashabiki wa Mondi
Youtube embed  
Read more