Hamisa Mobetto Sio Msanii Mkali - Christian Bella

Anapita Mule Mule

By  | Nov 20, 2020, 12:35 PM  | Drama

Nyota wa muziki Bongo, mkali wa masauti Christian Bella amesema wazo la kuimba na Hamisa Mobeto  alilipata huko Marekani walipokuwa wamekwenda pamoja.
Hamisa
Bella amefunguka hayo jana kwenye kipindi cha Homa ya TV E Tanzania ambapo pia ameeleza kuwa Hamisa anafanya vizuri pale anapokuwa anaelekezwa.

“Hamisa Mobetto sio muimbaji mkali yani yule wa kusema ndio best. Lakini ukimuelekeza, anapita mule mule,” amesema Bella.
Bella & Hamisa

Ikumbukwe wawili hao mwaka 2019 waliachia wimbo unaokwenda kwa jina la "Boss" na ulipata mapokezi mazuri kwa mashabiki wao.

Youtube embed
Read more