Wameachana? Ndoa ya Esma Platnumz , Mumewe Mashakani

Hawajafuatana Mitandaoni

By  | Nov 20, 2020, 12:33 PM  | Drama

Post main image
Ebwna eh mji mzito huu!
Ilikua mwishoni wa mwezi Julai 2020 kama unakumbuka harusi iliyotikisa sana mitandaoni.

Harusi hiyo ilikua sio nyingine bali ni ya Esma Khan dada wa mwanamuziki Diamond Platnumz aliyofunga na mfanyabiashara aitwae Msizwa.

Unakumbuka zile mbwebwe za zawadi za mashemeji? Mbwembe za kaka mtu? Na lile gari la kifahari?

Wamefika tamati?
Esma


Kwa kile kinachoonekana mtandaoni ni kuwa ndoa hiyo imekua inapitia sasa misukosuko hii ni baada ya Esma kufuta baadhi ya picha zao za harusi kwenye ukurasa wake wa insatagram.

Tangalebs pia imebaini kwa siku za hivi karibuni hawapostiani tena mitandaoni.


Na kama hili halitoshi imesthibika kuwa na wadaku mitandaoni kuwa wawili hao wame-unfollowiana kwenye Instagram.

Youtube embed


Read more