Mashabiki Yanga Wamjia Juu Wema Kisa Calinhos

Wema Ashushiwa Maneno

By  | Nov 20, 2020, 12:36 PM  | Wema Sepetu  | Drama

Ebwana eh! Danga jipya town?
Ebwana eh hii ni moja ya comment kati ya nyingi kwenye mtandao wa Instagram  kwenye akaunti maalumu  ya Wema Sepetu  Tanzania wa 2006 .
Wema Sepetu


Siku ya jana Mlimbwende huyo wa Karma alipost picha yake akiwa na kiungo wa Young Africans, Kijana toka Launda aitwae Carlinhos.


Pengine picha hii iliwekwa na Wema kama kushangilia ushindi wa timu yake hiyo yenye masikani pale Jangwani kwani siku ya jana waliwachapa Maafande wa polisi 1 -  0 kwa kazi nzuri ya Tonombe.Basi bwana baada ya picha hiyo kupostiwa mashabiki mbalimbali waliibuka na hisia tofaut tofauti kwa kuishambulia kwa maneno post hiyo.

Hizi hapa ni baadhi ya comments za mashabiki na kwakuangalia tu lazima zitakua za WanaYanga. Cheki hizi;
Huyu hapa 
morooldschool  Aliandika Wema Wema Wema daaah huyu michezaji tunamtegemea sana dada Wema plz

Nae  zainabomar60 alindika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚bongo move kwa ubakaji mnajiweza๐Ÿค”๐Ÿค”
Wengine hawa;
zayrat.said
Mbn unapenda kuwazalilisha wanayanga jomon wametumia gharama kubwa kwajili ya Huyo mchezaji lakin wew hiyo gharama ndizo manazitumbuwa saiz ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Wema tunaomba muache mtoto


Read more